GmbH ilianzishwa Ujerumani na ina taarifa pana za biashara na wateja ndani ya Afrika.
Makao makuu ya ofisi zetu yapo eneo la viwanda Kusini mwa Ujerumani. Ofisi zetu za Afrika zipo Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa kutumia uzoefu wetu na uhusiano tulioupata kwa miaka mingi, tunakuhakikishia kuwa sisi ni kati ya wasambazaji bidhaa wa hali ya juu kabisa.
Tunaheshimu malengo ya wateja wetu na kila mara tunajitahidi kufafuta suluhisho bora zaidi. Mafanikio yetu yanalenga kizazi kipya cha mawasiliano binafsi, maadili na juhudi binafsi.